NEW VIDEO (TANZANIA): Quick Rocka Aachilia Mdundo Mpya Kabla Ya Mwaka Kwisha!


Video nzuri za bongofleva mwaka 2015 zinazidi kutufikia ambapo Disemba 2 2015, Quick Rocka ametusogezea video hii ya Queen ( Nakupenda ) ambayo imetokea kwenye mikono ya Director Khalfan.

TAZAMA

https://www.youtube.com/watch?v=CXK6v7hZ3rw

RELATED 

 NEW SONG (TANZANIA) – Young Killer ft Juma Nature – Kambi Popote

Leave your comment