EXCLUSIVE (TANZANIA) – Kuanzia sasa sitokaa kimya – Amini
1 December 2015

Msanii wa Bongo Fleva Amini amewaambia mashabiki kuwa kuanzia sasa hatokaa kimya tena kama zamani.
Hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Furaha’.
“Unajua nashukuru kwanza mashabiki wangu wameupokea vizuri huu ujio wangu na nimefanya interview ile siku ambayo wimbo umetoka mikoa 23 ya Tanzania. Huko nyuma haikuwahi kutokea kwangu. Hii inaonyesha jinsi gani sasa hivi muziki umekuwa. Na sasa hivi nawaahidi mashabiki wangu kuwa sitokaa kimya sana. Itakuwa ni ngoma juu ya ngoma tu”. Alisema Amini.
Source: Bongo 5




Leave your comment