Historia fupi ya Prota(theboss2b)

Kwajina kamili anaitwa Protas musa mwapongo lakin jina la kisanii ni Prota(theboss2b) ni msanii Chipukizi na mdogo mwenye uwezo mkubwa wa kuandika mashairi,alizaliwa mwaka 1995october30 katika hospitali ya chimalamision hospital(muamerica) iliyopo chimala mbarali mbeya,alianza darasa la awali mwaka2002 na 2003 kujiunga nashule yamsingi chimala mpaka darasa lasita na kuamia shule ya msingi mengele kuhitim darasa la saba mwaka2009, 2010 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari mengele nusu mwaka na kuhamia shule nyingine kutoka wilaya ya mbarali mpaka mbeya(v)shule ya ITALA maeneo ya IRAMBO na kumaliza kidato cha nne mwaka 2012 kabla ya hapo alikuwa anajihusisha na masuala ya muziki ila kutokana na shule kubana hakuweza kufanya lolote ila ukaliw ake ulijidhihirisha kipindi bado yupo shule ashapata tuzo nyingi ikiwemo ya BestPoem writer(BPW_2010),KAPIMENAE(2012) na nyingine nyingi baada ya kuhitim kidato channe akafanikiwa kurekodi nyimbo nyingi hii ndo historia fupi ya Prota(theboss2b)

Leave your comment