EXCLUSIVE (TANZANIA) – Vanessa Mdee afanya kolabo na Runtown Nigeria

 

 

 

Mwanadada Vanessa Mdee anayetamba na kibao cha ‘Never Ever’ na mshindi wa tuzo ya AFRIMA 2015 ‘Best African Pop’, bado yupo nchini Nigeria akifanya interviews na kurecord single yake mpya.

 Mwanamuziki huyo juzi ya tarehe 16 amerekodi wimbo mpya kwa producer E Kelly Beatz wa Naija. “Cooking with my bro @Kelly beatz #Lagos” Vanessa aliandika katika post aliyoiweka Instagram.

Kwenye wimbo huo Vee Money amesema amemshirikisha Runtown ambaye wiki chache zilizopita alikuwa nchini Tanzania katika fainali za Bongo Star Search (BSS).

“Finally Got @runtown to jump in this fire join. #VeeinGid” aliandika Vanessa.

Leave your comment