EXCLUSIVE (TANZANIA)- Stamina awazawadia mashabiki wimbo mpya siku yake ya Kuzaliwa

 

 

Rapper Stamina asherehekea siku yake ya kuzaliwa tarehe 11 jumamosi iliyopita, kwa kuachia wimbo mpya uitwao ‘Bonventure’.

Wimbo huo unaelezea historia ya maisha yake ameutoa kama zawadi kwa mashabiki. Stamina amesema amefanya hivyo ili mashabiki wajue ni kwa kiasi gani wamebadili maisha yake.

“Nashukuru Mungu, media pamoja na mashabiki wangu. Huu wimbo nimeutoa ni kwaajili yao kama bonus track, unaelezea maisha yangu kwa ujumla na kazi yangu official itatoka hivi karibuni. Kwahiyo wimbo tayari upo kwenye mitandao wanaweza kuupata” alisema stamina.

Source: Bongo5

 

Leave your comment