TANZANIA MUSIC THURSDAY- Mawazo- Lady JayDee

 

 

 

Mawazo ni wimbo wa mwanadada Judith Wambura maarufu kama Lady Jay Dee. Mwanamuziki huyo ambaye yupo kwa muda mrefu katika soko hili la muziki.

Jay Dee ni mwanamke mchapakazi, anayejituma na anayejua mashabiki wake nini wanataka. Kati ya nyimbo zake mara nyingi huongelea swala zima la maisha kama wimbo wa Machozi, Distance, Binti, Mawazo na nyingine nyingi.

Ni mwanamke anayewakilisha Tanzania vizuri katika shughuli za kijamii, mwaka 2014 alichaguliwa kuwa balozi katika kusaidia ufahamu wa ugonjwa wa Fistula katika hospitali ya CCBRT.

Leo hii wimbo wa Mawazo umefanikiwa kuwa wimbo wa siku kwa mistari mizuri na yenye kufundisha, pata burudani.

Sikiliza hapa

Leave your comment