EXCLUSIVE (TANZANIA)- Nikki Mbishi arejea tena nasi
12 November 2015

Msanii wa Hip hop Nikki mbishi ambaye kwa kipindi kifupi hakuwa katika platform ya mdundo hatimaye amerudi. Ni habari njema kwako shabiki wa muziki kwasababu muda si mrefu nyimbo zake zitakuwa zikipatikana na kukuwezesha kuzidownload bure kabisa.
Nikki anatamba na vibao vingi kama Sauti ya Jogoo, Au, Punchline, Kila Siku, Play Boy. Na kwa sasa ameachia single mpya inayoitwa nichek baadae.
Kaa tayari kupata burudani zaidi kutoka mdundo music.




Leave your comment