EXCLUSIVE (TANZANIA)- Professor Jay na Ubunge

 

 

Pr. Jay ni kati ya rappers wa muda mrefu na aliyewekeza nguvu kwenye Bongo Fleva, lakini 2015 aliamua kuhamisha nguvu hizo na kuhamia kwenye siasa. Ambapo aligombea ubunge wa jimbo la Mikumi kwa tiketi ya kiti cha CHADEMA na kufanikiwa kupita.

Pr Jay amesema amefurahishwa na ushindi huo wakati akiongea na Amplifaya ya CloudsFM. Anachoangalia zaidi kwa sasa ni kujitaidi kuleta maendeleo ya Jimbo lake kwa kushirikiana na kila mtu kwasababu maendeleo yanatakiwa na kila mtu bila kujali itikati ya chama.

Leave your comment