EXCLUSIVE (TANZANIA)- Nikki wa pili ashindwa kuachia single yake kwasababu ya uchanguzi

 

Nikki wa Pili ambaye yupo katika kundi la Weusi amesema ilikuwa atoe single yake inayoitwa 'Baba Swalehe' lakini imeshindikana kutokana na vuguvugu la Uchaguzi. Akiongea na Amplifaya ya CloudsFM amesema wametengeneza promo kubwa toka kwa vyombo vya habari kwa ajili ya kutangaza kazi zao, lakini vyombo vingi vilibebwa na story za siasa kwa kipind hiki ndio maana kazi yao ikasogezwa.

Leave your comment