EXCLUSIVE (TANZANIA)- Wasanii kumpongeza Dk Magufuli kwa kushinda kiti cha Urais

 

 

Wasanii wa muziki Tanzania wampongeza Dk John P. Magufuli baada ya kutangazwa kuwa ndiye Raisi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Matokeo hayo yalitangazwa jana tarehe 25 Oktoba ikiwa pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Rais huyo wa awamu ya tano. Kwa kupitia tiketi ya CCM amepata kura nyingi zaidi kuliko wagombea wenzake, amepata kura 8,882,935 ambazo ni sawa na asilimia 58.46 kwa mujibu wa tume ya uchaguzi Tanzania (NEC).

Kwa kupitia kurasa zao za istagram na twitter wasanii wameandika;

Vanessamdee “Congratulations to our President-Elect Honorable John Pombe Magufuli. #Tanzania2015 #HapaKaziTu

Diamondplatnumz “(Happy birthday Dr.John Pombe Magufuli…and many congratulation for Being our New Tanzania’s President.. ) Heri ya kuzaliwa na pongezi nyingi zikufikiea Dr John Pombe Magufuli…..

Officialalikiba “Hongera #RaisiWanguNiMagufuli #JohnPombeMagufuli #KingKiba

Na wasanii wengine pia walimpongeza na kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa.

Leave your comment