THROW BACK THURSDAY (TANZANIA)- Pr.Jay mwanaharakati, mwanahihop na mwanasiasa

Joseph Haule anajulikana kama Pr. Jay, ni mwanamuziki anayeimba muziki aina ya hip hop na ana zaidi ya miaka kumi. Uchakarikaji na kutokata tamaa ndio vitu vilivyomfanya aweze kusonga mbele zaidi. Alianza kurap kuanzia mwaka 1994 katika kundi la Hard Blasters na walitamba na kibao Chemsha Bongo. Kw zaidi ya miaka 12 amekuwa katika sanaa hii ya muziki, na kwa sasa amechaguliwa kuwa mbunge wa Mikumikwa tiketi ya CHADEMA.

Huko nyuma Pr. Jay alitamba na vibao kama Zali la mentali, Ndio Mzee, Piga makofi na Yataka moyo. Hivi karibuni alitoa wimbo unaitwa Kipi sijasikia aliyomshirikisha Diamond.

Leave your comment