EXCLUSIVE (TANZANIA): Hizi Ni Sentensi 5 Za Diamond Platnumz Baada Ya Ushindi Wa Tuzo Za MTV EMA 2015


Msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania, Diamond Platnumz bado anaendelea kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani nchini na Africa kwa ujumla.

Baada ya kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye usiku wa tuzo za MTV EMA 2015 msanii huyo wa muziki wa Bongo Fleva amekuwa akipokea pongezi mbalimbali kutoka kwa mashabiki wake kwenye Instagram na pia kituo kikubwa cha burudani Africa, MTVBase Africa kilichukuwa time na kumpongeza msanii huyo kutoka Tanzania…

EXCLUSIVE- Young Killer kutafuta management kwa ajili yake na crew yake “Matunzo Zero Unity”

NEW RELEASE (TANZANIA)- Joh Makini, G-Nako, Nikki Wa Pili kuachia single 3 wiki ijayo.
Kuonyesha furaha yake kwa Watanzania na kwa mashabiki wake wengi, Diamond Platnumz kapost ujumbe wa shukrani kwenye page yake ya Instagram na pia kuwapa mashabiki wake taarifa kuwa baada ya pirikapirika za Uchaguzi Mkuu ataanda siku maalum kwa ajili ya mashabiki wake kuweza kupiga picha na tuzo hiyo…

Leave your comment