EXCLUSIVE (TANZANIA)- Wasanii wajitokeza kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu

 

 

Wasanii wa muziki Tanzania wajitokeza kwa wingi jana tarehe 25/10/2015 kupiga kura, ikiwa ni njia ya kuhamasisha vijana na watu wengine kutumia haki yao ya msingi kuchagua viongozi wanaofaa kuliongoza taifa. Kati ya wasanii hao ni  Joh Makini, Izzo Bizness, Fid Q, Nikki Wa Pili walipost katika kurasa zao za mitandao ya kijamii kama Instagram na Twitter. Post zao zilizosomeka hivi;

Izzo_bizness Machinjioni cc@nikkwapili #Uchaguzi kwa amani

joh_makini  machinjioni kwetu tunaenda sawa vp kwenu???umechinja tayari??? nipeni ripoti watu wa Mungu #uchaguzi_kwa_amani2015

Gnakowarawara TAYARI NIMETIMIZA WAJIBU WANGU, HAKI YANGU YA MSINGI #AMANI IENDELEE KUTAWALA MWENYEZI MUNGUANATUPENDA SANA. TANZANIA KWETU.

 

Leave your comment