EXCLUSIVE(TANZANIA)- Karibu Music Festival kurudi tena 6-8 Novemba,2015

Tamasha la muziki Karibu Music Festival kufanyika tarehe 6-8 Novemba huko Bagamoyo katika viwanja vya Mwanakalenge karibu na chuo cha sanaa na utamaduni (TASUBA). Tamasha hilo hushirikisha makundi ya muziki Zaidi ya 30 kutoka nchi 9 tofauti wakitumbuiza live stejini.

Karibu Music Festival inakusudia kukuza na kuwezesha muziki wa Afrika na tamaduni yake kusambaa duniani kote.

Source: The Citizen

Leave your comment