EXCLUSIVE(TANZANIA)- Young Killer kutafuta management kwa ajili yake na crew yake “Matunzo Zero Unity”

Msanii wa kizazi kipya Young Killer Msodoki amesema anatafuta management kwaajili ya kusimamia crew yake pamoja na yeye mwenyewe. Young killer amesema hayo kwa Bongo5 kuwa yeye na crew yao wameshindwa kufanya cizuri kwasababu wamekosa management.

“Tulikuwa tunataka kutoa ngoma ya Matunzo Zero Unity lakini kwa bahati mbaya tumeshindwa kufanya hivyo kwasababu ya uchaguzi, ila uchaguzi ukipita ngoma zitakuja. Lakini sisi kwa sasa hivi tunatafuta management, kwahiyo kama kuna mtu yoyote anaweza akatusimamia ajitokeze tutakaa chini na kuzungumza,” alisema young killer.

Source: Bongo5

Leave your comment

Top stories