EXCLUSIVE (TANZANIA)- Siwezi kujutia kuchora tattoo ya jina la mpenzi wangu –Mabeste
22 October 2015

Rapper Mabeste asema hawezi kujutia uamuzi wake wa kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake hata kama wataachana. Akiongea na kipindi cha XXL ya Clouds FM Mabeste amesema hata kama akiachana na mpenzi wake Lisa ataendelea kubaki na tattoo yake kama kumbukumbu katika maisha yake.

“Hata kama let say mfano tumeachana, nitakuja kuanzisha maisha mengine na mke mwingine yeye ataendelea kuwepo katika maisha yangu,” alisema. “Tayari tuna mtoto ndio kitu kitachotuunganisha".

Kwahiyo yeye ni part ya maisha yangu. Ndio maana nikamchora sio kuna siku moja nitakuja msahau. Mimi nimechora kwa ridhaa yangu nayeye kachora kwa ridhaa yake mwenyewe na yote tumefanya kwasababu ya maumivu tuliyopitia katika maisha yetu” aliongeza Mabeste.

Leave your comment