AWAMU YA 3 YA HATUA SAHIHI ZA KUPATA PESA KWA NYIMBO ZAKO

Karibu tena kusikiliza audio ya hatua sahihi za kufuata ili uwe sawa kupata kipato. Katika awamu ya tatu nimeelezea mambo muhimu unayotakiwa kufanya siku ya kutoa wimbo au siku ya release. Sikiliza kupitia https://mdundo.com/song/6901909 na fuatilia Mister bmy kupitia www.mdundo.com/a/665886

Leave your comment