AWAMU YA 2 YA JINSI YA KUPATA PESA KWA NYIMBO ZAKO

Katika wakati uliopita nilielezea kujiweka sawa kisheria. Katika awamu ya pili nimetoa audio nyingine kuelezea mambo sahihi ya kufanya kabla ya kutoa wimbo wako. Kusikiliza tumia link https://mdundo.com/song/6900252. Fuatilia https://mdundo.com/a/665886 kwa mengi ya kujifunza zaidi kutoka kwa Mister BMY.

Leave your comment