JINSI YA KUANZA KUPATA PESA KUPITIA NYIMBO ZAKO

Jifunze jinsi ya kuanza kupata pesa kupitia nyimbo zako kwa kusikiliza hatua za kufuata kutoka kwa Mister BMY. Kwa sasa nimeanza na awamu ya kwanza za hatua hizo. Lakini zipo awamu zipatazo nne ili kukamilisha. Ni rahisi mno. Usikawie sikiliza awamu ya kwanza inayoitwa "AWAMU YA 1 KUJIWEKA SAWA KISHERIA" kupitia link https://mdundo.com/song/6891820

Leave your comment