Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
JINSI YA KUJIPATIA MAPATO KUPITIA NYIMBO
19 July 2026
Ni ndoto ya kila mwimbaji kujiendeleza katika tathnia ya muziki, hivyo nimekuletea awamu nne za audio inayoelekeza hatua sahihi za kufuata ili kujipatia kipato. Tafuta audio inayoitwa "AWAMU YA 1 KUJIWEKA SAWA KISHERIA" by "Mister BMY". Hizi ni hatua za mwanzo kabisa utakazofuata ili upate pesa kupitia nyimbo zako. Kama umekamilisha hatua hizi kuna hatua zingine zinazofuata hadi awamu ya 4 ambazo nitakuwekea audio zake hivi karibuni. Tembelea akaunti yangu ya mdundo kusikiliza https://mdundo.com/a/665886 au tumia link ya moja kwa moja https://mdundo.com/song/6891820
Weekly Top 10 songs

Hatuachani8:47
omelette4:28
Daddy2:50
ONLY YOU JESUS5:44
SHAKE BODY2:15
Nigina2:27
DEJA VU2:32
Melody Ft Tunche the best3:20
Temutuloga3:00
Hanitaki3:44


Leave your comment