Wimbo mpya wa marafiki kutoka kwa shinizer tz

Shinizer tz ameandaa ngoma Kali inayoenda kwabjina la marafi amesema kuwa huo wimbo ni wimbo alio uandaa kwa ajili ya kufikisha ujumbe kwa watu wote maana marafiki wa siku hizi huwa hawaeleweki usikose kusikiliza Huu wimbo

Leave your comment