VIDEO MPYA HIVI KARIBUNI Bang Fellahz fam tarajieni kitu kizuri

Rapper na mwimbaji wa kundi la Bang Fellahz @KidFadi ambaye utakua umesha msikia kwenye nyimbo zake kama "Yeye","Kula_Happy" na "Ooh God ooh my" ambazo unaweza kuzipakua hapa kwenye account hii. KidFadi katangaza jina la wimbo ni "Napenda" ulio fanyika ndani ya "Noiz mekah" Arusha chini ya usimamizi wa producer Dx. Video hiyo itakua chini ya usimamizi wa Director_h na inatarajiwa kutoka rasmi tarehe 28/09/2015

Washirikishe na wwngine ujumbe huh. #ThaminiWaKwenu

Leave your comment