Akida Rich(King Rich)

ebu kisome alichokisema Akida Rich (King Rich) Akitumia maneno ya kiingereza

I'm not competing with Anybody.If YOU get there before Me Congratulations.Life is an Express Road and overtaking is allowed.

Msanii Akida Rich anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki Kenya akiwakilisha visiwa vya Nakuru Akida Rich amesema baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu sasa mashabiki
wake wakae tayari kwa ujio mpya.

Akida Rich ambaye muda mwingi yupo maskani yake Nakuru amesema sababu ya kukaa zaidi ya mwaka bila kuachia ngoma mpaka watu wanadhani ameacha muziki ni matatizo binafsi ambayo
yamekwishakaa sawa na sasa anarudi mzigoni.

Lakini Akida Rich(King Rich) hakutaka kuweka wazi jina la Project anayokuja nayo na kusema sasa
yupo chini ya usimamizi ambao unamuongoza kwa hiyo soon mambo yatakua hadharani so funs wake wawe tayari kumpokea.

By:mdundo.com |Monday,July 11,2016

Leave your comment