Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Mdantown Afunguka Kuhusiana Na Ujio Wake Mpya Wa E.P
29 October 2024
HK-News
Kutokea;
Kyela,Mbeya Tanzania
Mwandishi;
Hiphop Kwanza
Emcee Kutokea Kyela Mbeya Tanzania, Maarufu Kama Mdantown Anaewakilisha Kundi La WA2NYOMI
Amefunguka Leo Kupitia HK-NEWS
Amethibitisha Hayo Kwamba Anatarajia Kuja Na E.P Itakayo Kuwa Na Nyimbo 3 Mwishoni Mwa Mwaka Huu 2024 Au Mwakani 2025 January Tarehe 1
Aipendezi Ndo Jina La E.P Kutoka Kwa Mdantown Itakayo Kujia Hv Karibuni
Usikose Kupitia Page Yetu Ya Facebook Ili Upate Update Mpya Kuhusiana Na Hiphop Kwanza

Weekly Top 10 songs
Top stories
- Who is soulami
13 April
- Obichukwu the sent
12 April
- Obichukwu the sent
12 April

Leave your comment