UCHAVUSHAJI ELIMU YA FEDHA ALBUM 2024.

“Kwenye album hii tulifanya kazi na wasanii wafuatao kutoka Kenya; Omondy Orony, Wenyeji, Mayatima, Nafsi Huru, Elijah Moz, Abudabi Tembekali, Killa Loop, Kambona, Musa Kiama, Don Dully, Q Centoh, Sini Shana, P-Tah, Ken Koast, Romi Swahili, Veryl Mkali Wao and Yong Dana.

Kutoka Tanzania tulifanya kazi na; Rado Kiraka, Dainasti, TK Nendeze, Nala Mzalendo, Rama Wise, Zungu Snay, Rino X, Robi Twista, Stan Rhymes, Kamusi, Momumo, Dr. Lukuwi, Chibwa, Ponera, Lugombo MaKaNTa, Jadah MaKaNTa, Neponova Nepomatics, Isanga Native, Old Skool Local, Mantik Barz, Stopa The Rhymecca, Ze City, Kay Maujanja Saplayaz, Soggy Doggy, Tofa Tofali, Ghetto Starz (Cado Kitengo, Ghetto Ambassador, Black Ninja), Joe Mic, NoRaCa.

Pia tulikua na wasanii wawili kutoka Marekani ambao ni Defi Ant na Subtex ilhali kutoka Uingereza tulikua na DJ Jaffa ambae scratches zake zinasikia kwenye wimbo “Ushuru Mweusi” ambapo yumo emcee Kambona ambae pia ni video director alie ongoza video ya “Weka Wekeza.”

Leave your comment