Profile

Profile.ni wimbo wa bongo flavour (zouk) wenye kumwelezea mwanao mke mrembo alivo uteka moyo wangu.na kunifanya nisione pengine.kiukweli ni Binti mzuri ambaye knibamba kweli kweli na amezitulizs hisia zangu.yaani kwake nimefika sio siri ameniweza

Leave your comment