Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Msanii wa bongo fleva DOGO JANJA
21 March 2024
Msanii wa BongoFleva Janjaro/DogoJanja amefunguka kuwa Mungu amekibaliki kizazi chao cha Ma-Young...
Akipiga story na kituo cha online Dogo Janja amefunguka akisema
“Watu wana pesa, wakina Young Dee wanakimbizana, Young Killer anaenda Ulaya huko na Aslay yule pale ndio taita kabisa, mtu mzito”.
“Kwa sisi Ma-Young M/Mungu ameweza kutubariki, kwa Hii generation yetu ambayo mimi nimekuwa nayo ni Alhamdulillahi”.
Dogo Janja amemanisha kwamba waliotoka kimuziki katika kipindi kimoja yupo Young Dee, Young Killer na Aslay.

Weekly Top 10 songs

Inama4:58
ONLY YOU JESUS5:44
Eazzy Ft Way Dee2:59
Bikyaganye3:29
Mshamba2:44
Daddy2:50
Sissa3:37
Nigina2:27
Kontawa Itakuaje3:22
Rastaman3:29
Top stories
- Asa Africa - HAKUNA
19 September
- THE MEANING OF DHNTUYI
19 September
- Appy ft. Asa Africa - Unanipatia
19 September

Leave your comment