Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
OTILE BROWN NI MTOTO SIBISHANI NAE AJAOA..amesema KRG
20 March 2024
Mwanamuziki kutoka Kenya KrgTheDon amesema kuwa OtileBrown bado ni mdogo sana anamambo ya kitoto hivyo hawezi kushindana nae kwa chochote.
KRG ameongeza kwa kusema kuwa OtileBrown ameshindwa hata kudumu kwenye mahusiano na mwanamke kwa muda mrefu hivyo hawezi kuendelea kushindana na mtu kama huyo
KRG ameongeza kwa kusema kuwa OtileBrown ameshindwa hata kudumu kwenye mahusiano na mwanamke kwa muda mrefu hivyo hawezi kuendelea kushindana na mtu kama huyo
Weekly Top 10 songs

Inama4:58
ONLY YOU JESUS5:44
Eazzy Ft Way Dee2:59
Bikyaganye3:29
Mshamba2:44
Daddy2:50
Sissa3:37
Nigina2:27
Kontawa Itakuaje3:22
Rastaman3:29
Top stories
- Asa Africa - HAKUNA
19 September
- THE MEANING OF DHNTUYI
19 September
- Appy ft. Asa Africa - Unanipatia
19 September

Leave your comment