CHUKUA HII ITAKUSAIDIA KUPUNGUZA YANAYO KUKABILI

Baadhi ya VITU kwenye maisha yako UTACHELEWA kuvipata SIO kwa sababu MUNGU HATAKI uvipate...
ila ni kwa sababu UNAPEWA MUDA WA KUJIANDAA.
Kila BARAKA MPYA inayokuja kwenye maisha yako huwa inakuja na aina MPYA YA VITA.
Yaani, ukipata CHEO KIPYA basi jiandae kupambana na aina mpya ya vita ambayo HAUJAWAHI kuwa nayo.
Ukiongeza MTAJI, kuna vita itaibuka ya level nyingine kabisa.
KIPAJI chako kikianza KUSIKIKA, kuna watu mlikuwa marafiki wataanza kuwa MAADUI.
Hii inamaanisha, unahitaji STAMINA MPYA ili kupambana na vita ya KIWANGO kipya.
Ukiona UNACHOKITAKA kinachelewa sana na ukiangalia unaona ni kama MUDA WAKO ULISTAHILI uwe umekipata unachotakiwa KUKIKAZANIA ni KUFANYA MAANDALIZI.
Kuna baadhi ya watu, BAADA YA KUPATA BARAKA za kiwango cha JUU zaidi ya WALICHONACHO ndio ulikuwa MWANZO WAO wa KUHARIBIKIWA.
Mungu anakupa nafasi ya KUJENGA MISULI kabla HAJAKUPA.
Badala ya kulalamika wewe ENDELEA KUJIANDAA ili ukipata uwe na uwezo wa KUKABILIANA na CHANGAMOTO ambazo ZINAAMBATANA NAZO.

follow Instagram, Facebook,
YouTube, Twitter, Thread

@Sayfire

Leave your comment