Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Hii ni ukweli,hatuchomei mtu yeyote
3 September 2023
Kuna Mambo imekosekana kwa hii industry yetu ya Western kenya,inafanya mashabik hawapati nyimbo za wasanii wetu rahisi, Western media mmetufungia maskio wengine kuna venye wako na kale karoho kakujitakia,where by radio presenters wetu wote wa media za Westen kenya,Ni ukweli wako na ngoma zetu na wanazipenda, wakiwa home ngoma zetu ziko kwa playlist yao tunashukuru Hilo,by kinacho tuuma Ni,mbona wanaskiza,wanazipenda na hawachezi kwa radio? Wanao cheza ni wachache,na tumewaskiza,we need our music be expose to our fans,big up every fan of our musi.
Weekly Top 10 songs

ONLY YOU JESUS5:44
Acha2:04
Mapenzi Sio Pesa X Obama Sela4:11
Anaconda2:59
Temutuloga3:00
Time2:39
Sissa3:37
Sam wange feat Daddy Andre3:43
Alaska2:29
WEWE3:19



Leave your comment