PISI MBOVU release

On 23rd of April 2023……… natarajia kuachia wimbo wangu unaokwenda kwa jina la #pisi_mbovu nikiwa nimemshirikisha rapper @young_ramso, miongoni mwa wasanii wanaounda kundi la YOUNG KINGS.

Support yako ni muhimu sana ili niweze kufika kwenye ile nchi ya ahadi.

#korogweizmineman

Leave your comment