Gospel Band PEFA Ngara mjini.

Ilianzishwa mnamo mwaka 2013 katika kanisa la Pentecostal Evangelistic Fellowship of Africa (P.E.F.A) Ngara mjini.Hadi sasa bado inazidi kuimarika na kupiga hatua kubwa zaidi za kihuduma huku wakiandaa Albamu ya nyimbo zao ikienda kwa jina la "TUTAZAME"..Karbu usikilize na kupakua nyimbo zao kila wakati utabarikiwa."Hawajachoka wanaahidi kuimba kuhubiri Afrika na nje ya Afrika ili injili ya Bwana isonge mbele..Join them to Preach all over the Nations.

Leave your comment