WA2NYOMI CREW

Uongozi Wa Kundi La @WATUNYOMI CREW Umesema Kwamba Mwishoni Mwa Mwaka Huu 2022 Wanatarajia Kuachia Ngoma Mpya Ya Kufunga Mwaka... MwenyeKiti Wa Kundi Hilo @MDANTOWN Amefunguka Leo Tarehe 10/11/2022 Amesema Hayo Kupitia @HIPHOP KWANZA MEDIA Katika Mahojiano Yao Kuhusu Ujio Wao Wa Ngoma Mpya Watakayo Fanya Na Legendary Wa HipHop Nchini Tanzania @SALUTEE

Kundi Hilo Linaundwa Na Vichwa Vi Nne Vinavyofanya Vizuri Nyanda Za Juu Kusini Mkoani Mbeya Wilayani Kyela Katika HipHop Style Hapa Unamzungumzia @PLUS II @LUNGA THE BEST @E.J LAPA MC Pamoja Na @MDANTOWN Ambaye Ndo Mwenyekiti Wa Kundi Hilo.

Visit WATUNYOMI AT:
reverbnation.com/mdanta
mdundo.com/a/30037
Follow WATUNYOMI AT:
Facebook.com
Instagram.com
WhatsApp Number:
+255742071078

Leave your comment