Album preparations

Mimi naitwa Ommytize Classic...ni msanii chipukizi kutoka Mombasa Kenya..nimeweza kuachilia baadhi ya nyimbo zangu ila sai nimeamua kuachilia album ambayo itakua album yangu ya Kwanza katika Safari yangu ya mziki
Soo my super funs,get ready for this amazing album
#T.M.K album preparations
#T.B.A 4 LIFE
#CHATU

Leave your comment