Nesy music katoa albam mpya

Msanii wa kizazi kipya nesy music kaachia albamu yake mpya ilio beba baadhi ya nyimbo zake pia kali zilizo jumuisha na baadhi ya kollabo kali nchini tanzania albam yake kaipost mnano tarehe 21 september mwaka huu

Leave your comment