What is SOVERA?

Sovera ni jina la mtoto wa kike, pia bado ni mke wa mtu ambae walipitia panda shuka tofauti tofauti ili mradi walitunze penzi lao, ghafla SOVERA Akabadilika na akamwacha mume na mtoto yake kwa sababu ya starehe za dunia.
mtoto analia usiku nzima anataka mama,ila mama yupo Malindi na wazungu anavunja party.Download
wimbo wa SOVERA hapo chini upate yote yaliyo jiri~QUANPIZZA-SOVERA

Leave your comment