Ulimi Yangu Lyrics by Mejja ft Dj Nephas

[Image Source: Mejja Instagram]

Ni ile siku kila kitu huenda poa ah

Rent umelipa ,stima umelipa

Dem hana nuks ametulia

Ako kwa moods anakupikia

 

Food ikiiva ashapakua

Ashaniuliza inataste aje?

Nishamwambia si ungeeka spice kiasi

Akijam namdanganya iko  poa

 

Anadai twende out

Namwambia badilisha basi twende

Akivaa ‘’Nakaaje kabla nitoke?’’

Okey ume-colour crash

Hio top na hio mini ah-ah kwangu hazimatch

Anajam anajishika kiuono

Ananitolea mi huwa sikuget

Kila kitu mi hufanya hu appreciate

Ooops ulimi yangu kulikuwa na amani

Sasa nimeleta taabu

 

Eeh! Ulimi yangu , huniletea noma tu

Nakwambia eeh! Ulimi yangu

Huniletea nuks tu

Nakwambia eeh! Ulimi yangu huniletea noma

 

Ni sato jioni around 3

Nilikuwa kwa stage nategea tu ma3

Dem alinipita akasimama kando yangu

Baadae kidogo nikaona wasee watatu

Aaah wakasimama kando yake

 

Hakuwa anaskia wakiiba kwa kibeti yake

Nikawika ‘’Wezi Wezi’’

Kidogo wakanigeukia mimi

Wakanishika mashati wakaniangusha chini

‘’Iko iko’’ wakanipiga mangumi makofi

Wakanikanyangia chini

 

Mmoja akanikondolea macho

‘’Kijana siku ingine ufikirie maneno yako’’

Watu walikua wanaangalia

Hakuna kitu wanafanya na wanacheki naumia

Mpaka ule dem nilikua nasaidia

Nikawish ningenyamazisha ulimi

Kaa hii ndo kusaidia,tena sio mimi

 

Eeh! Ulimi  yangu huniletea noma tu

Nakwambia eeh! Ulimi yangu

Huniletea nuks tu

Nakwambia eeh!  Ulimi yangu huniletea noma

 

Aah!Kwa kampuni watu walikua wananyanyaswa

Nikaskia kuna mgomo  ilikua inapangwa

Na vile mi hukuwa msee wa mdomo nikaambiwa

‘’Mejja we ndo utakua spokesman wetu’’

 

Nikawaambia na nikipoteza kazi yangu?

Wakaniambia tutakua nyuma yako

Kidete mpaka mwisho

Mgomo kuanza nilikuwa mstari wa mbele

 

Na maplacards na makelele

Ungeniona nilikuwa kichwa ngumu

Nikiwaka ‘’Tunataka haki yetu’’

Baadae wadosi walitimiza

Ile kitu wafanyikazi walikuwa wanataka

 

Siku ya pili kwenda kazi mi kufika

Nikachapiwa ‘’Mejja ushafutwa’’

Nikawaambia si mnafaa kuwa nyuma yangu

Walinilenga wakaniacha pekee yangu

Heri ningejua ninyamazishe ulimi wangu

Eeh! Ulimi yangu ,huniletea noma

Haha haha…

https://www.youtube.com/watch?v=_4tEcs1bygU&list=PLnUFZ4sXj07gFmPL6C5UH5AxUAwJuwU7Q&index=19

 

 

Leave your comment