Nyashinski Hapo Tu lyrics ft Chris Kaiga [Download]

[Image Source: Nyashinski Instagram]

Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
(Yeah, yeah yeah yeah)
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Uhuru gardens tuko jaba
Wengine wako meeting
Zetu ni ma German
Zenu pikipiki
Leo tunaenda Canaan
Beba zigi mingi
Ka kuna ma madam
Beba CD mingi
Ni mimi hapo backleft Paparazzi
Wanaifanya ngumu kufanya usherati
Nakumbuka kabla nifuge manati

Nilikuwa nawakunywa na ile cologne ya Versace
Siku hizo backseat ilikuwa love seat
Smooth ya manual unafikiria ni automatic
Tint kwa window muhathara ndo hatutaki
Hapa perfection tunaifanya bila practice
Mbele naona success nafunga Hat-trick
Mi ndo the "Chieth" kwa hii choo itisha Harpic
Tangu tuingie kwa hii mchezo si ndo heartbeat
Nairobi City tunairun kama athlete

Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!

Iseti hapo nikuhandle
Alafu kam tutoe lock ka key ya mlango
Nikuingize ndani ya box kama ballot
Ju leo siwezi kalikula tu kwa macho
Ambie Beenie Man nimepata queen wa dancehall
After leo utarudisha weave salon
After leo nawacha Arimis na ma Valon
Haukai kuitisha vile unakaa kukuwa na passport
Kitu ka hii ni rare ichimbe ndo uipate
Mi na Nyash ni kama jet ya private
Vutia wateja ni ka amewekwa magnet
Ita touch wateja hadi waitane

Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!

Hii game ndo inabisha hii si 9 millimiter
Tint kwa dirisha usinimind nikipita
Geuzeni vichwa injili imefika
Na white tunaficha ni ka tunafilisika
Hii game ndo inabisha hii si 9
Tint kwa dirisha usinimind
Geuzeni vichwa injili imefika
Na white tunaficha ni ka tunafilisika

Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Naskia...
Naskia...
Naskia...
Naskia...

 

Leave your comment

Top stories

More News