Shukrani?????! Siandaboy kusikiliza na kudownload nyimbo zake..

Mwanamziki siandaboy Siku ya Leo madaraka day awashukuru wore waliompa sikio kwenye nyimbo zake..asema kwamba anaahidi kutoa nyimbo zingine zuri na zenye utamu wake ..anawaomba muendelee kumsupport na kushare nyimbo ...

Leave your comment