Nyimbo Mpya: Ngoma Kumi za Bongo Zilizoachiwa Mwezi Aprili 2021

[Picha: Instagram]

Mwandishi: Branice Nafula

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Mwezi Aprili umekua mwezi wa kuonyesha ubabe kati ya wasanii nchini Tanzania. Wanamuziki mashuhuri wamekua wakiachia ngoma mpya. Mwezi huu pia tulishuhudia ugomvi katika ya Rayvanny na Harmonize, huku wasanii hao wawili wakijibizana kupitia muziki.

Pata Ubashiri wa Mechi Katika ya Real Madrid na Chelsea 

Katika nakala hii, tunaangazia nyimbo kumi bora zilizoachiwa mwezi Aprili 2021:

Fungu la Leo Zaburi 118:14

Attitude - Harmonize ft Awilo Longomba na H baba

Hii ni kazi mpya sana ya Harmonize aliomshirikisha nguli wa mziki barani Afrika Awilo Longomba na mwenzake wa Tanzania H baba. 

Baikoko - Mbosso

Kwenye wimbo huu, Mbosso amemshirikisha Diamond Platnumz. Kufikia sasa ni wimbo ulio na watazamaji zaidi ya Milioni sita.

https://www.youtube.com/watch?v=hGqzvvbZnyQ

Hayakuhusu - Ibraah

Katika wimbo huu Ibraah alionea kumchamba Rayvanny kuhusu ugomvi dhidi yake na Harmonize. 

Vibaya - Harmonize

Katika kujaribu kuomba radhi na kuwaheshimisha akina dada ambao amaekua na uhusiano nao, Harmonize alichia wimbo huu ‘Vibaya. 

Utaniambia nini - Professor Jay

Katiko wimbo huu, Professor Jay anadhihirisha kwamba angali shujaa wa muziki na kuomba wasanii kumpa heshima yake.

https://www.youtube.com/watch?v=I2WN49sqQS4

Lala - Rayvanny Ft Jux

Huu ni wimbo wa mapenzi ambapo Jux na Rayvanny wanazungumzia jinsi wanavyompenda msichana mmoja.

https://www.youtube.com/watch?v=s3kdjHUPlXA

Simba -  Rose Muhando

‘Simba’ ni wimbo wa sifa ambapo Rose Muhando anaelezea Ukubwa wa Mwenyezi Mungu.

https://www.youtube.com/watch?v=I9KS9jNhEo8

Bado Yupo - Jux

Katika ‘Bado Yupo’, Jux anaangazia hadithi ya mrembo aliyempenda na kwa sasa amevunjika moyo na hataki kupenda tena.

Tatizo - Billnass

Billnass anaangazia mapenzi yake ya zamani na uchungu aliopata baada ya kuhadaiwa.

Kwenye wimbo huu, Ibraah alichukua fursa kueleza vituko vilivyo kwenye uhusiano na changamoto zake.

https://www.youtube.com/watch?v=q_0A3pvSehs

Leave your comment