Godson mc anakuja kivingine.

Rapper mc God son ameamua kuja kivingine katika mfumo wa kuachilia singo.

amesema badala ya kuingia studio atatumia simu yake kujirekodi yeye mwenyewe kwa mashairi aliyo tunga mwenyewe.

hii imetokana na kuwa na idadi kubwa ya mashairi na tungo zake nyingi katika daftari. Na ameamua kufanya hivi kwa lengo la kukata kiu ya wale wanaopenda kumsikiliza.
amesema atahakikisha angalau kila mwezi anaweka single moja katika ukurasa wake wa mdundo.com.
anaomba sappot zenu wadau na ushauri .
anaamini katika juhudi na kujifunza zaidi.

Leave your comment