Pakua Mixtape Tatu Kali za Singeli Kwenye Mdundo

 

[Image Source: mzigotv.com]

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Mziki wa Singeli unaendelea kupata umaarufu nchini Tanzania n hii leo tunakupa fursa wewe shabiki kupakua mixtapes hizi kutoka Mdundo bila malipo

Singeli Mdundo kamili #01 

Hizi ni nyimbo kutoka kwa wasanii kama vile Sholo Mwamba, Balaa Mc, Wawa Salegy,Msaga Sumu, Mfalme Ninja. Katika kujua uhalisi fani hii ya mziki wa singeli walioshirikishwa humu ni Marioo na Diamond Platnumz.

Mdundo Wa Singeli #03 Mix : Rayvanny , Dulla makabila , Nagwa OG , Shollo Mwamba

Huu ni mchanganyiko wa kizazi kipya cha mziki wa Singeli. Wasani wa bongo halisi wanazamia mziki wa Singeli na walioshirikishwa humu ni kama vile Dula Makabilla, Nogwa, Shollo Mwamba na wengineoe. Pakua Mixtape hii ufurahie ubunifu wa mziki wa Singeli.

Singeli Mdundo kamili #03

Katika mixtape hii ni ya nyimbo za kasi zaidi ya kuamsha mizimu ya kucheza mziki wa singeli . Nyimbo zilizojumuishwa humu ni kama vile Mkadebe -Saula,Easy Man - Madikodiko, Mczo - Dayana,Bizz handsome - Umenuna. Pakua mixtape hii ufurahie umuhimu wa Singeli.

Leave your comment

Top stories