SAKATA - NICO TURAS

Msanii wa pwani ya Kenya (NICO TURAS)ametoa wimbo mpya kwa jina 'SAKATA'.Wimbo huu una ujio tofauti sana na zile za awali alizokua akimba.Ni mtindo wa Afro naija."Nimefanya wimbo huu na producer tofauti kabisa,anaitwa 'FREDRICK IBRAHEEMS' n prducer mchanga ila vitu vyake ni vikubwa. Studio yake inaitwa 'EST. KNOCKERS'" Alisema NICO TURAS.

Leave your comment