TAMAA -ZAWADI FT. BENJA(SUMUTATU)

Hii ni Ngoma mpya ambayo msanii mkubwa wa gospel anayeitwa ZAWADI ameshirikisha Benja wa Kundi la Sumutatu .Ni wimbo ambao unawaonya watu dhidi ya kutamani chochote ambacho wanakiona.Biblia inasema kwamba usitamani .wimbo huu ni wa mahubiri mazito kutoka kitabu cha Kutoka mlango WA ishirini ambacho kinaongelea amri KUMI za Mungu ,Exodus 20:The Ten Commandments
The song is found in YouTube and mdundo.com
Please like share subscribe comment view listen

Leave your comment