Corona

Aliwish angefuatilia yale maagizo ya kuzuia corona
Huu ni wakati gava ilimkunja kaaa kipino ikamfinya na full force ya kisigino ndio akae indoors.lakini wapi...
Baada ya kujipiga jerky na pillow kijana alijitosa Nje na kurudi Ndani bila kujisanitize mikono.
Kijana alikataa kua mungwana mwishowe akamangwa na mchanga.
Enyewe hii Ni matime tu lazima tunawe mikono hata Kama tunaenda kumanga na kijiko
Lakini itakua masikitiko tusipoona uzito wa wisdom kwa mapunchlines kaaa izi
Enyewe wote tuombe mola kwa hili janga la corona
Kukiwa na dalili,hospitalini fila
La si hivyo tutapoteza data ya mamilioni,the year 2030 haitakua imeline up kwenye vision.
Tuepuke makundi,sanitize,osha vizuri mikono, quarantine (indakala the poet)

Leave your comment