New song is coming soon get ready

Ngoma inachezeka vyema, imetumia lugha mbili ya kiingereza na yakiswahili, kwa msikilizaji au shabiki yangu hawezi toka patupu.
Asikikiza atacheza anaweza akajikuta naye akiimba wimbo mzuri kutoka kwa PJ2JAY.
Wimbo huo umetengenezwa katika studio ya OLDIX MEDIA na kusimamiwa na MAKE HITs Ents.

Producers:PJ (beat creation)
:Jay flow (vocal mixing and song mastering)
Song writer: PJ2JAY
Owner of song and beat: PJ2JAY
Songname :PÀRTY INA GETO.

Wimbo huu ukitoka utapata taarifu kupitia account yangu ya wasap au kupitia Instagram @pj_2_jay


Utaruhusiwa kusambaza, kusikikiza na kupakuwa pia kama utahitaji kufanya remix wasioiana na mimi.


Asante sana

Leave your comment