Money Dance

Hello friends najua mmekuwa mkisubiri kazi zangu kwa muda mrefu sana ila soon mambo yote yatakuwa good nipo njiani kuachia new track yangu inayokwenda kwa jina LA "money dance" ni bonge ya ngoma naimani itakata kiu yako kwa muda wote ambao umekuwa ukisubiria kazi kutoka kwangu.

#Supportmusicmzuri

Leave your comment