ZIMEREKODIWA KWA KUTUMIWA SIMU

hapa hapa mdundo search "Home music BELE45" kupata nyimbo ambazo msanii Bele45 amerekodi kwa kutumia simu bila kwenda studio nyimbo zipo 3 ya kwanzw kwa jina la HIP-HOP ya pili ikiwa ni NAMPA uku ya Tatu ikiwa ROSSFLOW izi zinatoa funzo na kuwapa matumain wasanii wasiokuwa na uwezo wa kurekodi na wana kipaji kwani wanaweza kutumia njia nyingine kuwaxilisha walichonacho kwa taarifa zaidi nipigie simu au niandikie meseji kunishauri, kuniponda, kunikosoa,kunisaidia 0625362871 au 0759015700

Leave your comment