Mr dawa kuingia upya katika nyimbo za injili

Mr dawa ni msanii kutoka kenya ambaye alijulikana saana mwanzo alipokuwa akiimba nyimbo za dunia licha ya hali ngumu ya maisha hakufa moyo alipambana kiume kwa kucha na wembe hadi hatima yake alifanikiwa katika nyimbo hizo za dunia na kutoa kanda kadha wa kadha
K.v
Leo leo
Maybe
Anita
Leo leo ndiyo ilivuma saana wakati huo aliyomshirikisha msanii kutoka mombasa DOGO RICHIE
Hatma yake sasa ameamua kumregelea mungu leoleo bali siyo kesho

Ametoka na wimbo
K.v
Fatuma pesa
Unanitosha

Karibuni katika official mr dawa
Mfate katika vipeperushi vyote
Facebook @mrdawadawa
Instagram@mrdawadawa
Tweeter@mrdawa
Youtube@mrdawa official


Asante

Leave your comment