Bila wewe siwezi

Bila wewe siwezi ni ngoma yenye hisia nzito juu yangu maana ilikuja wakati Niko njia panda,
Niliweza kumpoteza mama mzazi ambae alikua tegemeo kuu maishani mwangu,
Ndugu na jamaa zangu pamoja na marafiki niliwaona kama wananitenga kwa muonekano yangu,
Lakini nashukuru MUNGU alisimama upande wangu na kunitetea pia kunifanya nikubalike tena,
Amekua pamoja nami wakati wote bila kujali nakosa au dhambi ninazo mtenda,
Wakati wote amekua mfariji na mwingi wa huruma.
Ewe mola wangu nikupe nini ili na wewe ufurai?

Leave your comment